Katiba ya Kikundi cha Sanaa

KATIBA

SEHEMU YA KWANZA

MUHITASARI

0.1   JINA LA KIKUNDI

             a),,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
             b),,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
1.1   MAKAO MAKUU YA KIKUNDI

    Makao makuu ya kikundi yatakuwa willaya ya Temeke mkoa wa Dar es salaam. 
 1.2  ANUANI YA KIKUNDI ITAKUWA:

              KIUMENI FOUNDATION 
              P.O.BOX  ,,,,,,, DAR ES SALAAM
              TANZANIA
              EAST AFRICA.
   Email; kiumenifoundation@gmail.com

1.3   MAHUDHUI YA KIKUNDI (STATUS)
    ............................ ni kikundi cha kujitolea kisicho cha kiserikali,kisiasa na kidini kinachojihusisha na     shughuli za kuburudisha na  kuelimisha jamii na maendeleo ya wanacama wake.

SEHEMU YA PILI

MADHUMUNI YA KIKUNDI  

2.0    MADHUMUNI YA JUMLA (GENERAL OBJECTIVES)

Kujenga na kukuza uelewa miongoni mwa jamii hasa vijana kuhusiana na na matatizo yanayowazunguka katika maisha ya kila siku,kuwawezesha wanachama wake kuwa na uwezo wa kutatua matatizo yao.

2.1   MADHUMUNI MAHUSUSI (SPECIFIC OBJECTIVES)
a) Kuburudisha na kuelimisha jamii hasa vijana kuondokana na makundi mabaya yasiyojenga jamii yetu kama wizi,ujambazi,utumiaji wa madawa ya kulevya  kupitia sanaa ya muziki,maigizo,uchoraji,sarakasi,ngoma za asili na michezo kama mpira wa miguu,riadha,ngumi n.k
b)

3.0  KUJIUNGA NA KIKUNDI (MEMBERSHIP ELIGIBILITY CRITERIA)

 a)Mtu yeyote anaweza kuwa mwanachama wa (,,,,,,,,,,,,,,,,,,) kama atakuwa na sifa zifuatazo pamoja na kufuata utaritibu ufuatao;
  1. Awe ni mtu anayeshiriki katika shughuli za sanaa,anayeshiriki katika shughuli za kikundi kulingana na malengo yaliyowekwa na kikundi.
  2. Alipe kiingilio cha uanachama na michango yote iliyowekwa na kikundi. 
  3. Mtu yeyote atajiunga na kikundi kwa kujaza fomu maalumu ya maombi kupitisha kwa katibu mkuu,na kujadiliwa na kamati kuu na kuthibitishwa na mkutano mkuu.
  4. Uanachama wa mtu utaanza kutambuliwa mara tu baada ya kuanza kutekeleza yale yaliyo katika kifungu ,,,,,,,,,,,,,,,,hadi ,,,,,,,,,,,,,,ilivomo katika katiba hii
b)Mtu yoyote atakoma uanachama endapo lolote kati ya haya litatokea

  1. Atafariki dunia 
  2. Atajihudhuru uanachama kwa hiari yake mwenyewe na kupeleka taarifa kwa maandishi kwa katibu.
  3. Mwanachama atashindwa kutimiza majukumu na wajibu wake kama mwanachama.
  4. Atafanya jambo lolote ambalo kama asingekuwa mwanachama angekosa sifa ya kuwa mwanachama.
  5. Mwanachama atafanya jambo lolote linalokiuka kanuni na taratibu za kikundi,na kamati ya nidhamu kuridhika kuwa kuna kosa,na mwanachama atapewa nafasi ya kujitetea.

3.1  WAJIBU WA MWANACHAMA WA KIKUNDI (RESPONSIBILITIES)

    9 comments:

    1. Nimependa Sana.Mimi Piya Ni Mwana Sanaa Lakini Niko Drc Congo/baraka.Naitaji Niwe Mwana Member Kwenye Kundi Lenu.Mtanisaidiaje?

      ReplyDelete
      Replies
      1. Karibu Vitamu Arts Group,ni kundi linalojihusisha na Tasnia ya Uigizaji(Movie),hata kama hujui utafunzwa mpaka utaelewa,tunapatikana Dodoma mjini, jiran na shule ya msingi chinangali,au jirani na mahakama ya Chamino,,,kwa mawasiliano piga number... 0683387079_0656833438,,Upatapo ujumbe huu mjuze na mwingine,,Bila kujali jinsia Umri,cheo,wala chama,nyote mnakaribishwa....... SANAA_ ni Kufundisha,Kuelimisha na Kuburudisha Jamii.

        Delete
    2. Enter your comment...mzk inafanya?

    3. Asante saaana kwa kunipa muongozo na sisi tuna kikundi chetu ambacho yunatakik kisajiliw, na ndio nashughulikia katiba

      ReplyDelete
      Replies
      1. Karibu Vitamu Arts Group,ni kundi linalojihusisha na Tasnia ya Uigizaji(Movie),hata kama hujui utafunzwa mpaka utaelewa,tunapatikana Dodoma mjini, jiran na shule ya msingi chinangali,au jirani na mahakama ya Chamino,,,kwa mawasiliano piga number... 0683387079_0656833438,,Upatapo ujumbe huu mjuze na mwingine,,Bila kujali jinsia Umri,cheo,wala chama,nyote mnakaribishwa....... SANAA_ ni Kufundisha,Kuelimisha na Kuburudisha Jamii.

        Delete
    4. nahitaji kujiungaa nanyi ila shida sina pesa lakini kipaji ninacho

      ReplyDelete